HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 8, 2010

Wazee Wa Masauti Waendeleza Libeneke Lao La Kila Jumapili Msasani Beach Club

Kiongozi wa Bendi ya Acudo Impact,CristianBella akiwamzigoni.Safu ya waimbaji wa Acudo Impact ikiwaburudisha wadau lukuki waliofika katika kiwanja chao cha nyumbani cha Msasani Beach club,usiku wa kuamkia leo.
safu ya ushambuliaji ikiwajibika vilivyo kwa mashabiki wa bendi hiyoRapa mahiri wa bendi hiyo ya Acudo Impact,anaekenda kwa jina la Toto Ze Bingwa akiwapagawisha wadau na ile staili yake ya kibajaj.Rapa huyu alinitonya kuwa kuna kitu chake kipya kiko jikoni kinapikwa na si muda kitaingia mtaani.hivyo washabiki wake wakae mkao wa kula. safu ya ushambuliaji kwa upande wa kina dada nayo haikuwa nyuma kumwaga burudani kwa mashabiki wao. mie nikiwa na Mdau mkuu wa kijiji hiki bw. Chaoga tukifuatilia kwa makini mambo ya Vijana wa masauti.
wadau mbali mbali waliofika Msasani beach club kuicheki bendi yao ya Acudo Impact wakiserebuka kwa raha zao katika ulingo mkuu.Acudo Impact wako chini ya udhamini mkubwa wa kilaji cha Serengeti a.k.a Chui Chui.hii ilikuwa ni usiku wa kuamkia leo

1 comment:

  1. Chaoga mwambie dogo awe anabadili kinywaji,ususani sehemu kama hizo
    Dunda

    ReplyDelete

Post Bottom Ad