
watu wa huku gari kwao hata sio kitu cha hatari maana hata hawaliogopi,cheki walivyotanda barabarani kama vile hawalioni hili gari.

huu ni moja ya mitaa iliyopo kule Tandale kwa Tumbo,hii ni jana jioni nilipokatika pande hizo katika kuendeleza libeneke la Mtaa Kwa Mtaa.
No comments:
Post a Comment