HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 8, 2010

Mzee Wa Changamoto Ndani Ya Askrim

unaweza sema anauza sura,lakini mwenyewe ndio anajua maana hapo unaambia leo ndio kumewezekanika kutoka nje kutokana na kupungua kwa askrimu ya kutoka kwa saa God.anakwambia hii ndio hali halisi inavyoonekana huko kwao,maana hakuna cha misele wala nini ni full kula mijumba tuu na vidude vya masikioni kama vile unakuna muziki.hebu mtembelee kwa huku ukampe pole na kumfariji kwa hali hiyo waliyonayo sasa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad