jana usiku niliachiwa deiwaka ya Bajaj na jamaa yangu,nami sikusita kuipokea na kuendelea kupiga kazi kama uonavyo pichani nikiwa nishalamba zangu vichwa na kuwapeleka sehemu waendayo.Daahh ila huu umafiri umetulia jamani yaani hadi raha ukiendesha.
No comments:
Post a Comment