HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, February 8, 2010

Ofisi Za South African Airways Zashika Moto

Baadhi ya wafanyakazi wa South African Airwaiys (SA) wakiwa nje ya ofisi yao mara baada ya kutokea kwa tukio la moto.Askari wa usalama na wale wa kikosi cha zima moto walifika eneo hili haraka iwezekanavyo kuweza kuhakikisha kila kitu kinakuwa sawa.
mmoja wa askari wa kikosi cha zima moto waliofika eneo hilo kutoa msaada wa kudhibiti moto uliozuka kwenye ofisi za shirika la ndege la Africa Kusini (South African Airways) zilizopo ndani ya jengo la Sophia House uliotokea asubuhi hii.
Baadhi ya wafanyakazi wakijaribu kuokoa mali zao zilizosalia baada ya ofisi hiyo kuwaka moto asubuhi ya leo.
Kikosi cha zimamoto kikipambana na moto huo uliozuka ndani ya ofisi za shirika la ndege la Afrika Kusini (South Afrikan Airways) asubuhi ya leo.la ndege la Afrika Kusini (South African Airways ) wakiwa nje ya ofisi yao baada ya moto mkubwa kuzuka ndani ya ofisi hiyo,Pia askari wa usalama walikuwepo eneo la tukio asubuhi hii wakihakikisha usalama wa eneo hilo.chanzo cha moto huo bado hakijajulikana mpaka sasa.tunaendelea kujulishana kadri mambo yatakavyokuwa yanakwenda.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad