Utambaji wa Hadithi Jukwaani!
Karibu Soma mkahawani ukutane na Ghonche Materego mtambaji mahiri wa hadithi jukwaani…
Huu ni utanzu mkongwe ulioshamiri enzi za mababu na bibi zetu ambao umehuishwa kwa kutumia mbinu za sanaa za maonyesho.
Onyesho litasindikizwa na majadiliano, maonyesho ya vipaji ya papo kwa papo na ushairi wa kisasa.
Muda: 12:00 alasiri hadi 2:00 usiku
Tarehe: 26/02/2010 (IJUMAA).
Uenzi utamaduni wako, furahia utamu wa neno
Vinywaji na vitafunwa vya aina mbalimbali vitakuwepo kwa bei karibu na bure!
Performed Oral Story Telling At Soma Book Cafe!!
With Ghonche Materego!
Soma is delighted to invite you to share an oral story telling evening
at the Café on Friday 26th February from 6.00 to 8 PM
Ghonche Materego, the current Executive Secretary of BASATA is a theatre artist, film director, a gifted stage performer and story teller.
Come one, come all… let’s tell our stories and celebrate the spoken word!
There will be space for spontaneous talent show, rap and poetry reading/recitation…
Drinks and bites will be available at a reasonable price……
&D Readership and Development Agency
Contacts: info.soma@infinet.co.tz
P.O. Box 4460
Dar es Salaam
Tel: 022 2772759
Location: Mlingotini Close, Plot No 53
Regent Street, Regent Estate

No comments:
Post a Comment