HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, February 26, 2010

Rais Kikwete Aifariji Familia Ya Marehemu Balozi Daudi Mwakawago Leo

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kitabu cha maombolezo ya Marehemu Balozi Daudi Mwakawango ambaye alikuwa ni mwanadiplomasia na mwanasiasa mkongwe nyumbani kwake Msasani jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Kikwete akimfariji mke wa Marehemu Balozi Mwakawango,Bi.Daisy Mwakawago aliyefariki dunia juzi jijini Dar es Salaam.Marehemu anatarajiwa kuzikwa kesho jijini Dar es Salaam.Rais alikwenda nyumbani kwa marehemu kuifariji familia yake.Marehemu ameacha mjane na watoto watatu ambao ni Lulu Mwakawago,Kie Mwakawago na Mtage Mwakawago (picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad