
Kijana ambaye hakujulikana jina kwa haraka,akiwa katika mtaro wa maji machafu eneo la Jangwani jijini Dar,akitafuta chupa za mpastiki za maji ya kunywa zilizokwisha tumika kwa ajili ya kwenda kuzipima na kuziuza,bila kujali athari za kiafya zitakazompata kutokana na kuingia katika mfereji huo uliojaa taka na tope zito.
Picha na Madu Emmanuel Herman,Mwananchi.
No comments:
Post a Comment