HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, February 25, 2010

Msaada Mwisho Wa Daraja

Habari Mdogo wangu Othman,

Kwanza kabisa naomba nikupongeze kwa kazi yako nzuri sana ya kutuhabarisha maswala mbalimbali yakiwemo ya kijamii.

nimekufanyia attachment ya picha ya Bendera ambayo kiukweli inafanana moja kwa moja na ile ya Taifa letu,lakini kila nilipozidi kuiangalia naona kama vile rangi zake ziko tofauti na ile ya Taifa letu.

sasa naomba unifanyie msaada tutati kwa kuiweka hapo mtaani kwako ili wadau waweze kunisaidia katika hili.


ahsante sana,
Mdau wako wa Kudumu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad