Bongo customer service ni ZERO ZERO KABISA, Mi najua ni CRDB Bank hapo mlimani maana nilipokuja TZ wakati wa likizo nilikuta hizo foleni kila ninapokwenda Bank.
Alafu hizo Bank bila ya aibu wanajaribu kusema wana Managers wakati wanashindwa kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa issue kama hizi. AIBU SAANA.
Bongo customer service ni ZERO ZERO KABISA, Mi najua ni CRDB Bank hapo mlimani maana nilipokuja TZ wakati wa likizo nilikuta hizo foleni kila ninapokwenda Bank.
ReplyDeleteAlafu hizo Bank bila ya aibu wanajaribu kusema wana Managers wakati wanashindwa kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa issue kama hizi. AIBU SAANA.
wewe mtoto kama kazi imekushinda acha sio unatupa habari siku moja kimya siku tatu
ReplyDelete