HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, February 13, 2010

Libeneke La Foleni Katika Benki Zetu

hii ni foleni ya wateja wa moja ya Bank zinazohudumia hapa nyumbani,na hili ni tawi la Mlimani City.teller ziko kibao lakini wahudumu wachache.

2 comments:

  1. Bongo customer service ni ZERO ZERO KABISA, Mi najua ni CRDB Bank hapo mlimani maana nilipokuja TZ wakati wa likizo nilikuta hizo foleni kila ninapokwenda Bank.

    Alafu hizo Bank bila ya aibu wanajaribu kusema wana Managers wakati wanashindwa kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa issue kama hizi. AIBU SAANA.

    ReplyDelete
  2. wewe mtoto kama kazi imekushinda acha sio unatupa habari siku moja kimya siku tatu

    ReplyDelete

Post Bottom Ad