HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, January 19, 2010

Mtu Mrefu Alipokutana Na Mtu Mfupi!!

hawa jamaa ndio wanaoonekana kuwa ni wenye maajabu kuliko watu wengine duniani kutokana na maumbile yao jinsi yanlivyo,maana huyo mrefu anatakribani futi tisa kitu ambacho ni nadra sana kutokea katika dunia hii ya leo na wakati huyu mfupi ana futi mbili tu.Daahh kweli duniani kuna maajaabu.

1 comment:

  1. Hahaha Dogo anaitwa Ping Ping kamasijakosea nishawahi kuona Documentary yake zamani sana. Anavuta Sigara vibaya sana huyu. ana Umri kama 21 sasa. Pazi.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad