HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 20, 2010

Shot Kat Ya Raundi Abauti Ya Barabara Ya Kilwa Rodi Leo


Hi Othman,
Leo asubuhi pale barabara ya kilwa road hapa Dar! Kwenye kipita shoto cha JKT Mgulani, jamaa aliona anachelewa kuzunguka! Akakunja hapo hapo kwenye tuta na kuaruka chwaaaap! Akawa kafika. Bongo Tambarare kama wanavyosema FFU wa Ughaibuni chini ya afande mkuu Ras Makunja. Na hapo hafanywi kitu...
Wape wadu hyo!

Mdau
Ekonjo
Sent from my BlackBerry® smartphone

1 comment:

  1. Ili jamaa Ekonjo kwa misifa.. hakuna mtu anayetaka kujua unatumia simu gani kuchukua picha...

    ReplyDelete

Post Bottom Ad