Dada Chemi akiwa ni mwenye majonzi makubwa mbele ya jeneza lililokuwa na mwili wa marehemu mume wake Rev.Douglas G. Whitlow
Dada Chemi akipoke Bendera toka kwa mmoja wa Askari wa Kimarekani wakati wa mazishi ya mumewe
akiweka uwa juu ya jeneza la mumewe
bendera ikikunjwa kwa heshima zote za kijeshi
waombolezaji waliofika mazikoni hapo.
Kutoka Kushoto ni mtoto wa Dada Chemi afahamikae kwa jina la Elechi Kadete, Shemeji yake Dennis Whitlow, na mwanae mwingine Camara KadeteREST IN ETERNAL PEACE REVEREND DOUGLAS G. WHITLOW.
Mume wake na Dada Chemi Whitlow ambaye aliwahi kuwa mwanajeshi enzi za Vietnam, amezikwa kwa heshima za kijeshi jana huko Cambridge Cemetery.tembelea hapa kwa picha zaidi.
Mume wake na Dada Chemi Whitlow ambaye aliwahi kuwa mwanajeshi enzi za Vietnam, amezikwa kwa heshima za kijeshi jana huko Cambridge Cemetery.tembelea hapa kwa picha zaidi.

No comments:
Post a Comment