HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, January 23, 2010

Trafiki Wa Kujitolea Akipiga Mzigo

mzee mmoja ambaye jina lake halikuweza fahamika mara moja akijaribu kuongoza magari ambayo yalikuwa yamesongamana katika mtaa wa Zanaki na india street mchana huu.yaani hapa palikuwa hapasogei hata gari moja lakini alivyoingia huyu mzee mambo yote yalikwenda poa.Kamanda Kombe umemuona huyuu??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad