
Wafanyakazi wa Kampuni ya Ulinzi yaUltimate Security wakiwawameubeba katika machela mwili wa marehemu Samson Kivinge,aliyekuwa mfanyakazi wa Ubalozi wa Denmark, Mwili wa Kivinge ulikutwa katika Ufukwe wa bahari ya Hindi eneo Aga Khan Dar es Salaam asubuhi ya jana.

Wakazi wa jiji la Dar wakiuangalia mwili wa Bwana Samson Kivinge,ambaye alikuwa ni mfanyakazi wa Ubalozi wa Denmark Nchini uliopo chini baada ya kukutwa kafariki. Chanzo cha kifo hicho ambacho kilitokea asubuhi ya jana bado hakijajulikana lakini Kivange alikuwa akifanya mazoezi kila siku asubuhi katika eneo hilo na hata mauti yakimfika alikuwa mazoezini kulingana na mavazi aliyovaa.picha na Father Kidevu Blog
jamani tuwe na ubinadamu je ndugu wa marehemu watajisikiaje kuona mwili wa ndugu yao mpendwa.
ReplyDelete