Dear Michuzi
Napenda kujitambulisha kwako kama mmoja wa Wasambazaji wa kampuni ya Forever Living Products. Kampuni iliyoanzishwa mwaka 1978 huko Marekani, na inaendesha shughuli zake katika nchi zaidi ya 140 duniani.
Napenda kujitambulisha kwako kama mmoja wa Wasambazaji wa kampuni ya Forever Living Products. Kampuni iliyoanzishwa mwaka 1978 huko Marekani, na inaendesha shughuli zake katika nchi zaidi ya 140 duniani.
Forever Living Product inayoshughulika na utoaji wa elimu na usambazaji wa bidhaa zenye virutubisho vya afya ikiwa ni pamoja na kinga na tiba kwa magonjwa mbalimbali. Pia inatoa elimu ya ujasilia mali inayomwezesha mtu kuongeza kipato cha ziada pindi akiwa bado kwenye ajira yake na bila kugusa muda wake wa kazi. Mbali na vitutubusho kwa afya, ina bidhaa za za urembo na utunzaji wa ngozi zisizo na kemikali - ni asilia.
AFYA: Kutokana na ubora wa kimataifa, bidhaa za FLP zimewasaidia wengi katika kuboresha afya zao. Mchanganyiko wa bidhaa kadhaa za lishe huweza kuondoa tatizo lolote la kiafya hata kama limekuwa sugu kiasi gani. Kampuni inatoa gerentii ya siku 30, kama utaona hukupata badiliko lolote katika afya yako baada ya kutumia bidhaa, utarudishiwa pesa yako yote. Jiulize ni nani unayeweza kutumia bidhaa zake, kisha ukamwambia hazikunisaidia chochote na akakurudishia pesa uliyonunulia? TAFAKARI!!!!!
KIPATO:
Kampuni inatoa Fursa ya kuwa Msambazaji (sio machinga). Mwenye kampuni atakulipa bonus ya asilimia fulani, kulingana na nafasi yako katika mfumo wa biashara uliowekwa na kampuni, kwa kila utakachokinunua na utakayemshirikisha akaenda kununua.
Jiulize, ni mara ngapi umekwenda dukani ukanunua soda si moja bali ni zaidi ya moja, jee huyo mwenye duka amewahi hata siku moja kukulipa bonus kwa soda ulizonunua? FLP itakulipa kwa chochote utakachokinunua kwa matumizi yako, au kwa kuwasaidia wengine. Mfumo huu wa Biashara umesaidia kubadilisha maisha ya watu wengi kwa kipindi kifupi sana kuliko matarajio yao.
Ni biashara ya kushirikishana (biashara ya mtandao): mimi nakushirikisha wewe, na wewe unamshirikisha mwingine, na mwingine na mwingine,... ukomo ni upeo wa macho yako. Unaweza ukaanza leo ukiwa pekee yako, lakini baada ya mwaka mmoja, miaka miwili, miaka mitano utakuwa na watu wangapi chini yako? Ni wengi sana, vivyo hivyo na pesa ni nyingi sana. Unachotakiwa kufanya ni: Kujiandikisha, Kununua Bidhaa na Kuzitumia, Kuwashirikisha Wengine Manufaa ya Bidhaa na Kipato, Kujenga Timu na Kuifundisha Timu yako Kufanya kama Wewe.
Mtaji mkubwa wa biashara hii sio pesa, ni mdomo wako - "Word of Mouth". Kwa hiyo aliye na pesa na asiye nazo, aliye na elimu na asiyo nayo, maskini au tajiri, ... wote wanaweza kufanya hii biashara, kama tu watakuwa na mambo haya matatu - DESIRE (HAJA YA MOYO), COMMITMENT (KUJITOA) , ACTION (KUTENDA).
Mtaji mkubwa wa biashara hii sio pesa, ni mdomo wako - "Word of Mouth". Kwa hiyo aliye na pesa na asiye nazo, aliye na elimu na asiyo nayo, maskini au tajiri, ... wote wanaweza kufanya hii biashara, kama tu watakuwa na mambo haya matatu - DESIRE (HAJA YA MOYO), COMMITMENT (KUJITOA) , ACTION (KUTENDA).
Jee Ungalipenda kuboresha maisha yako ya sasa na ya baadaye kwa kuwa na AFYA BORA na KIPATO kisicho na ukomo? Jee wataka kuwa na MUDA mzuri wa kufanya mambo yako binafsi bila kuingiliwa na mtu yeyote? Jee ungalipenda kuona unawasaidia wengine kutoka katika dimbwi la MARADHI na UMASKINI? Kama jibu lako ni NDIYO, basi wasiliana kwa hatua zinazofuata za kujiandikisha.
Dondoo: Kuna watu wana muda lakini hawana fedha, wengine wana fedha lakini hawana muda. FLP itakupatia FEDHA na MUDA . HUHITAJI KUTUMIA NGUVU NYINGI KUPATA FEDHA NYINGI ZA HALALI, SHIRIKISHA NGUVU YAKO NA WATU WENGINE UONGEZE KIPATO KISICHO NA UKOMOKOMO
Wako katika Mafanikio
Theonest Evarist Bahemuka - MSc(Chem)
Laboratory Supervisor
Mechanical Engineering Department
Onsite Analytical Laboratory
(Oil & Water testing Lab)
Bulyanhulu Gold Mine Limited
P.O. Box 891
Kahama – Shinyanga
Tanzania
( t +255 (22) 2600 508/512 ext.2234
r f +255 (22) 2600 222
) m +255 (0) 786 96 64 44
* e tbahemuka@barrick.com
@ w www.barrick.com
"All things are difficult before they are easy"
No comments:
Post a Comment