abiria wa usafiri wa jamii hapa bongo wakiwa wamesimama katika usafiri ili mradi waweze kuwahi katika shughuli zao za kila siku.kwa hali ya usafiri wa jamii a.k.a daladala hapa bongo bado ni tete maana hivi ndivyo hali halisi ilivyo.
No comments:
Post a Comment