Hapo zana kamili ulitakiwa kuwa na 1: chupi disposable (maana kwa maji hayo ukitoka tu unaitupa haitafaa hata kufuliwa kwa jik) 2: Mfuko wa rambo mpya usio na tundu ili kuweka nguo utakazobadili ukishatoka dimbwini 3: Nguo mcharuko za kuvukia 4: Kitu cha kukutoa aibu maana unaweza kusaula ili uvuke 5: Kidumu cha maji ya kujisuuzia ukishavuka Lol Kweli hiyo ilikuwa kali. Sema tatizo ni kuwa hujui kabla hayajafika hapo yamepita wapi. Kulivyo na vyoo vya kiangazi ambavyo hata mvua ya masaa mawili inaviflush, nahisi hiyo njani=o si bure. Anyway Pole kwa hilo. Blessings
hapo hatari ipo, kazi kwelikweli maana una hitaji gum-boots
ReplyDeleteKijana mbona huelewi kila mara nakuambia kitu hicho hicho, sio HADHA ni ADHA
ReplyDeleteHapo zana kamili ulitakiwa kuwa na
ReplyDelete1: chupi disposable (maana kwa maji hayo ukitoka tu unaitupa haitafaa hata kufuliwa kwa jik)
2: Mfuko wa rambo mpya usio na tundu ili kuweka nguo utakazobadili ukishatoka dimbwini
3: Nguo mcharuko za kuvukia
4: Kitu cha kukutoa aibu maana unaweza kusaula ili uvuke
5: Kidumu cha maji ya kujisuuzia ukishavuka
Lol
Kweli hiyo ilikuwa kali. Sema tatizo ni kuwa hujui kabla hayajafika hapo yamepita wapi. Kulivyo na vyoo vya kiangazi ambavyo hata mvua ya masaa mawili inaviflush, nahisi hiyo njani=o si bure.
Anyway
Pole kwa hilo.
Blessings