HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 14, 2010

Hapa Ngoma Ngumu

leo huku bila kufanya hivi hakuendeki.daah ningejua ningepiga zangu zile za kuogea na bukta halafu mambo yangeenda poa,maana hii ni hadha sasa.

3 comments:

  1. hapo hatari ipo, kazi kwelikweli maana una hitaji gum-boots

    ReplyDelete
  2. Kijana mbona huelewi kila mara nakuambia kitu hicho hicho, sio HADHA ni ADHA

    ReplyDelete
  3. Hapo zana kamili ulitakiwa kuwa na
    1: chupi disposable (maana kwa maji hayo ukitoka tu unaitupa haitafaa hata kufuliwa kwa jik)
    2: Mfuko wa rambo mpya usio na tundu ili kuweka nguo utakazobadili ukishatoka dimbwini
    3: Nguo mcharuko za kuvukia
    4: Kitu cha kukutoa aibu maana unaweza kusaula ili uvuke
    5: Kidumu cha maji ya kujisuuzia ukishavuka
    Lol
    Kweli hiyo ilikuwa kali. Sema tatizo ni kuwa hujui kabla hayajafika hapo yamepita wapi. Kulivyo na vyoo vya kiangazi ambavyo hata mvua ya masaa mawili inaviflush, nahisi hiyo njani=o si bure.
    Anyway
    Pole kwa hilo.
    Blessings

    ReplyDelete

Post Bottom Ad