mwenye mzigo akichunga mali yake isiingie mitini na jamaa wa mikokoteni,maana hawa jamaa wa mikokoteni wakikuacha hatua kadhaa tuu jua huna chako hapo maana unaweza pishana hapo hapo na usiwajue,hivyo huu ni ulinzi mzuri zaidi kama unaona huna uwezo wa kwenda sambamba na kokoteni.hii ndio Bongo Daslam bwana usiambie na mtu.
No comments:
Post a Comment