HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 6, 2010

Fulu Kuburuzika.............!!

Uwanja maarufu uliotumika kwa michezo ya Olimpiki za mwaka 2008 huko Uchina, maarufu kama Bird's Nest, umegeuka kuwa kivutio kikubwa sana kwa wapenzi wa mchezo wa kuteleza kwenye barafu. Wakati sehemu zingine duniani watu wamemkasirikia Mungu kwa kuwaletea barafu lukuki, Uchina wanapiga hela.Nadhani tungeanza utaratibu na sisi hapa nyumbani, hasa Dar es Salaam, wakati wa mvua mitaro ikiziba na kusababisha mafuriko jijini tutengeneze vijiboti vitakavyotumiwa na watalii kuzuru jiji kwa bei nafuu. Tunaweza kupiga hela na sie kama Wachina.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad