Mwendesha baiskeli akipita jirani na lori lililotumbukia kwenye shimo eneo la Msamvu mkoani Morogoro kufuatia eneo hilo kujaa maji kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha hapa nchini. Picha na Juma Mtanda
No comments:
Post a Comment