HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, January 14, 2010

Box Zinavyokuwa Ngumu Kubebeka Kwa Mdau Dunda

Mdau Dunda akihaha na chepe lake ili aweze kukanasua kamchuma kake kalikokuwa kameganda kutoka na aisikrimu ya orijino toka kwa Mungu.picha ya juu na ya chini ni kamchuma ka mdau Dunda kakiwa kamegandishwa na aisikrimu kiasi kwamba unaweza usijue kama kuna kitu hapa.unaambia siku hivi hata box hazibebeki tena huko mbele mbele kutokana na hali hii ya kunyesha aisikrimu.

1 comment:

  1. Hii snow huwa inaleta balaa. Achilia mbali usumbufu wake, lakini uendeshaji nao unakuwa wa kukata mauno na unaweza kuwa makini ukagongwa na mwenzako asiye na uzoefu. Yaani ikimwagika ujue wewe ne yule nyote mnakosa uaminifu hasa barabarani
    Pole kwake japo hajasema hii ni lini na wapi.
    Blessings Bro

    ReplyDelete

Post Bottom Ad