Ndugu jamaa na marafiki,
Tunapenda kuwatangazia kuwa, kutakuwa na ibada fupi ya msiba wa marehemu Sophia Gerald Lusingu itakayofanyika:
Tunapenda kuwatangazia kuwa, kutakuwa na ibada fupi ya msiba wa marehemu Sophia Gerald Lusingu itakayofanyika:
Siku: Alhamisi
Tarehe: 14 Jan 2010
Tarehe: 14 Jan 2010
Muda: 11 am to 1pm (saa 5 mpaka saa 7 mchana)
Mahali: address:
Warehouse
1 Cumberland road
Reading
RG1 3LB
Tafadhali mjulishe na mwenzako
Kwa maelezo zaidi tafadhali wasiliana na simu zifuatazo:
07954563709, 07888841971, 07799212095,
Asanteni TA Reading
-- Jumuiya Ya Watanzania Reading-UK
No comments:
Post a Comment