
Kwa wale wapenzi wa zile muvi za muendelezo za 24 nafikiri mtakuwa mnamnyaka vyema huyu jamaa,hivi sasa jamaa keshaweka kitu chake kingine kilingeni ambacho ni cha msimu wa nane.hivyo kwa wale wapenzi wa muvi hizo kama mimi tuanze kuzisaka sasa.Daah! huyu ni noma,kwa wale ambao hawajacheki hizo muvi zake basi mtakuwa mmekosa uhondo sana.
No comments:
Post a Comment