HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 13, 2009

Wadau

leo nimepata bahati kama ya mtende vile nilipokuta na wadau wakubwa wa Kitaa chetu hiki,ambapo hapa niko na Mdau Dundazy Baba toka pande za Denmark ambaye amewasili hapa jiji kwa vekesheni fupi ya krismas.
pia nilibahatika kukutana na Dada Furaha toka pande za Arusha ambaye nae alikuja mara moja,katika shughuli zake ambapo nae hakutaka kurejea kwao bila kumsaka huyu jamaa anaendeleza libeneke la Mtaa Kwa Mtaa na kupata nae snap ya kumbukumbu.kwakweli nimefurahi sana tena sana kukutana na wadau hawa na kufanikiwa kulamba nao snaps za kumbukumbu kama zionekanavyo hapa.Ahsanteni sana wadau na tuendelee na moyo huo huo wa kutafutana na kufahamina zaidi na zaidi.Wadau hapa pia ni mamemba wa kijiji cha jirani cha FotoBaraza.Net,ambacho kinaendeleza libeneke lake la kukiendeleza kimatumbi chetu mtandaoni.mnaweza kitembelea kwa kubofya HAPA na kama ukivutiwa nacho unaweza kujiunga kwa kubofya HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad