
Msema Chochote (MC) mkali hapa Bongo,MC Kim akiendeleza libeneke lake kama kawa katika kufanikisha sherehe aliyokuwa akiiongoza siku hiyo.

Mc Kim akifanya vitu vyake

Mc Kim akiwa na Wakili machachari sana hapa Bongo anaefahamika kwa jina la Wakili Jerome Msemwa katika sherehe ya kijana wa rafiki yake hivi karibuni.kama unasherehe ya Harusi,Send Off,Birthday,Graduation Nk.usisite kumtafuta Mc Kim ili shughuli yako iweze kwenda vizuri.unaweza kumcheki kwa namba yake ya simu hii
+255 713 429 353
na hapo shughuli yako itakwenda vyema.
No comments:
Post a Comment