HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 21, 2009

Tshalla Muana Awapagawisha Wakazi Wa A-Town

Mmoja wa waimbaji mahiri wa Mwanamama Tshalla Muana anaefahamika kwa jina la kisanii MG 30 akiimba moja ya nyimbo za mwanamuziki huyo mbele ya mashabiki lukuki wao waliofika ukumbini hapo.
Tshalla Muana akiimba jukwaani mbele ya wageni waalikwa wa Club E usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Kilimanjaro.ndani ya hoteli ya Naura Springs
Dansa wa mwanamuziki Tshalla Muana akionesha macheche yake mbele ya boss wake katika ukumbi wa Kilimanjaro usiku wa kuamkia leo.
Wageni waalikwa wakilifuatilia onesho la Tshalla Muana huku wakipata vinywaji

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad