HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 21, 2009

BREKING NYUZZZ:TOKA READING UK

TAARIFA ILIYOINGIA HIVI PUNDE TOKA READING NCHINI UINGEREZA,ZINARIPOTI KWAMBA SYSTEM NZIMA YA USAFIRI KATIKA JIJI HILO ZIMESIMAMA KUTOKANA NA BARAFU (SNOW) NYINGI ZINAZOENDELEA KUDONDOKA KILA MAHALA KUZIBA NJIA ZOTE.
MDAU ALIOPO KATIKA ENEO HILO KWA SASA,ANASEMA KWAMBA HALI HIYO IMESABABISHA MSONGAMANO MKUBWA SANA WA MAGARI AMBAO UMEDUMU KWA TAKRIBANI MASAA 5 HUKU KILA GARI LIKIWA LIMESIMAMA BILA KUSOGEA HATA HATUA MOJA.
MDAU HUYO ANAENDELEA KUSEMA KWAMBA HALI HIYO IMEKUA NI TATIZO KUBWA SANA KATIKA JIJI HILO LA READING KWANI KUTOKANA NA BARIDI KALI NA HALI HIYO MTU UNAWEZA UKAACHA GARI LAKO NA KUONDOKA ZAKO.
TUTAENDELEA KUJUZANA HAPO BAADAE KINACHOENDELEA KATIKA JIJI HILO KWA MUJIBU WA MDAU MWENZETU HUYO AMBAYE KAKUMBANA NA HADHA HIYO LEO HII.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad