HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, December 21, 2009

Dahh!! Afadhali Handakizz Lapigwa Plasta

lile handaki letu leo limepatiwa ufumbuzi mara baada ya kukuta hawa jamaa zetu wakilipiga plasta,hivi ndivyo inavyotakiwa katika mahandakizz yote yaliyoshamiri katika mitaa mingi ya jiji letu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad