
Wadau wa Habari toka vyombo mbalimbali wakisherehekea siku kuu yao.

Sophia Kessy (mamaa wa Africa Bambataa),Anthonio pamoja na Arnold Kayanda (Ditective) wote kutoka Clouds Media Group wakiwa ndani ya fukwe ya Msasani katika kusherehekea sikukuu ya wanahabari,mwishoni mwa wiki hii

haya vutaaaa......

.....Mmmmhhhh meza hii sijui kama kuna mtu alifika salama kwake.....

mtasha akipewa festi aidi baada ya kuumia katika mchezo

kina dada wakijidai katika mchezo wa net boli ndani ya fukwe ya Msasani Jeshini

Dada Suzy wa Clouds usimpimie katika kulisakata goma la Msondo,si unamdekshia mwenyewe hapo anavyopelekana na Mdau?

yaani ni Full kujimwayamwaya

"haya twendeeeee,kidogo tuu kodogo tuu,haya twendee"
Wabongo bila bia kazi haendi vizuri yani we acha tu.
ReplyDelete