Askari wa usalama Barabarani akielekeza gari zinazobeba abiria katika jiji la Dar(daladala),kupaki pembeni mara baada ya kuzikamata zikipita katika njia ambayo hawaruhusiwi kupita katika makutano ya barabara ya Morogoro na Msimbazi asubuhi ya leo.
No comments:
Post a Comment