Washiriki wa ZABURI GOSPER SEARCH wakifanya mazoezi
Mmoja wa washiriki wa ZABURI GOSPER SEARCH anaefahamika kwa jina la Moses Lupakisyo akiwapikia wenzake chakula (Ugali) na kuwapakulia wakati wa kambi yao iliyoanza rasmi siku kadhaa zilizopita huko jijini Mwanza.kwa kufahamu zaidi yanayojiri kila siku katika kambi ya ZABURI GOSPER SEARCH basi tembelea HAPA
No comments:
Post a Comment