
HABARI ZILIZOTUFIKIA HIVI PUNDE ZINARIPOTI KWAMBA,WAZIRI MKUU WA KWANZA WA TANZANIA MZEE RASHID MFAUME KAWAWA AMEFARIKI DUNIA.
MZEE KAWAWA AMBAYE HALI YAKE ILIKUWA MBAYA SANA KWA SIKU YA JANA KIASI KWAMBA MPAKA KUKIMBIZWA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI KATIKA CHUMBA CHA WAGONJWA MAHUTUTI,
AMBAPO VYOMBO VINGI VYA HABARI VILIRIPOTI HALI HIYO SIKU YA JANA.
RAIS JAKAYA KIKWETE NA MKEWE MAMA SALMA WALIFIKA HOSPITALINI HAPO KUMJULIA HALI WALIPOSIKIA TU MZEE KAWAWA YUKO KATIKA HALI MBAYA SANA.
MUNGU AIWEKE MAHALI PEMA PEPONI ROHO YA MAREHEMU MZEE WETU RASHID MFAUME KAWAWA.
-AMEIN
TUTAENDELEA KUJUZANA ZAIDI HAPO BAADAE.
No comments:
Post a Comment