HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, December 31, 2009

RAIS JAKAYA KIKWETE ATANGAZA RASMI KIFO CHA SIMBA WA VITA, TAIFA KUOMBOLEZA KWA SIKU SABA

RAIS JAKAYA KIKWETE AKITANGAZA RASMI LEO KUHUSU KIFO CHA SIMBA WA VITA MZEE RASHIDI MFAUME KAWAWA MUDA MFUPI ULIOPITA IKULU, JIJINI DAR.RAIS KIKWETE AMETANGAZA PIA SIKU SABA ZA MAOMBOLEZO KITAIFA AMBAPO BENDERA ZITAPEPEA NUSU MLINGOTI NCHI NZIMA. MAANDALIZI YA MAZIKO YANAENDELEA NA RAIS KIKWETE KAOMBA SUBIRA NA ITATANGAZWA WAKATI WOWOTE MAMBO YAKISHAKAMILIKA.(PICHA NA BLOG YA JAMII)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad