Dada Alice J.B. Kibopile (Alice Ngubwene) anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi mpendwa,John Burton Kibopile wa Forest Mbeya,kilichotokea jana tar 19/11/2009 asubuhi katika hospitali ya rufaa Mbeya.
Marehemu Jonh mpaka anafariki alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa shinikizo la damu na kisukari.
Aidha mazishi yamepangwa kufanyika nyumbani kwake Forest,Mbeya siku ya jumamosi (kesho) tarehe 21/11/2009.
Kwa taarifa zaidi wasiliana
na
Paul
0754294999,
Patrick
0784255413,
Alice
07i6501676/0733606
No comments:
Post a Comment