
Bw. harusi Kassim Mussa akisikiliza kwa makini Mawaidha ya Sheikh (hayupo pichani)

Bi. Shanila Zubeir akiwa katulia tulii

maharusi katika picha nzuri kabisa ya kumbukumbu.

maharusi pamoja na Mpambe wao wakielekea Nyumbani kwao.

Sheikh nanihii (kati mwenye miwani) akiongozana na maharusi

"bwana Kassim Mussa,umekubali kumuona bi Sheila Zubeir kwa mahali tuliyokubaliana??"hayo ndio maneno yasemwayo hapo na kaka wa Bi. harusi.

Bw. Harusi pamoja na mpambe wake wakiwa na Sheikh aliefungisha ndoa hiyo,Sheikh Seif (kushoto) mara baada ya kumalizika kwa tendo la ufungishaji ndoa mchana wa leo maeneo ya Karakata,Tabata

Bw.Harusi na Mpambe wake wakijadili jambo

watoto wa Madrasa wakiimba qaswida katika kusherehesha harusi hiyo leo

dufu zikishughulikiwa vilivyo

kina mama wakisherehekea

msafafa umekolea,yaani simpo tu lakini ni poa
No comments:
Post a Comment