SCHOLARSHIP FORUM
Napenda kuwatangazia ndugu wadau wote kuhusu maboresho niliyoweka katika mtandao kuhusiana na mambo ya scholarships. Nimeanzisha SCHOLARSHIP FORUM ambayo ni www.scholarshipnetwork.ning.com Hii ukijiunga itakusaidia kupata updates za kila scholarship info ninayoiweka katika link hiyo. Kila tangazo la scholarship niki-post hapo utapata e-mail kukujulisha.
Pia blog www.makulilo.blogspot.com nayo itaendelea kuwa hewani kama kawaida.
Mdau
MAKULILO, Jr.
San Diego, CA
No comments:
Post a Comment