kondakta wa Dadadada pamoja na dereva wake wakiwa wamebeba mlango wa gari lao baada ya kudondoka wakati gari hiyo ikiwa katika mishe mishe zake za kila siku.sasa siji ingekuwa vipi kama huyo konda angening'inia mlangoni kama kawaida yao??
No comments:
Post a Comment