HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, November 13, 2009

Safari Ya Nanihii Imeivaaa

napanda zangu chombo a.k.a Gogo kuelekea pande za nanihii nikiwa katika siti yangu ya festi klass

zawadi za kuwapelekea washkaji huko niendako maana kitu hii ni hadimu kidogo kwa pande zile

wadau wenzangu wakiwa wametulia tuuli wakisubiri chombo kianze kupiga hatua.lakini hizi siti zimetulia jamani uongo zambi.

5 comments:

  1. same upareni habari muhimu mbona umeichunia?

    ReplyDelete
  2. treni ya kwenda TABORA HIYO ...

    ReplyDelete
  3. Itakua bira kuema ukweli tujue unatoka wapi na unaelekea wapi !
    Hiyo nafikiri italeta maana sana katika picha

    ReplyDelete

Post Bottom Ad