napanda zangu chombo a.k.a Gogo kuelekea pande za nanihii nikiwa katika siti yangu ya festi klasszawadi za kuwapelekea washkaji huko niendako maana kitu hii ni hadimu kidogo kwa pande zilewadau wenzangu wakiwa wametulia tuuli wakisubiri chombo kianze kupiga hatua.lakini hizi siti zimetulia jamani uongo zambi.
AMAZING!!!!!!!!!!!!!!!!!
ReplyDeletesame upareni habari muhimu mbona umeichunia?
ReplyDeletetreni ya kwenda TABORA HIYO ...
ReplyDeleteItakua bira kuema ukweli tujue unatoka wapi na unaelekea wapi !
ReplyDeleteHiyo nafikiri italeta maana sana katika picha
ufisadi unatupeleka pabaya
ReplyDelete