jamaa aliesadikiwa kuwa ni kibaka katika maeneo ya Jangwani leo amedakwa na wazee wa feva baada ya kutaka kujaribu kula kona na matokeo yake kuumia alipokuwa akitaka kujaribu kuchanja mbuga,hapa akiwa amebebwa na mmoja wa askari Polisi (mwenye kofia) akisaidiana na raia wema waliofanikisha kudakwa kwa kibaka huyo.
jamaa huyo hoi kwa maumivu aliyoyapata wakati alipokuwa akitaka kukimbia,hapa wakisubiria usafiri wa kwenda kituoni.
No comments:
Post a Comment