DAKIKA YA ISHIRINI NA SITA SASA,AMBAPO MSHAMBULAJI WA TIMU YA SIMBA MUSSA HASSAN MGOSI AMEPATIA TIMU YAKE BAO LA KUONGOZA DHIDI YA WATANI WAO WA JADI YANGA.HIVYO SIMBA 1 NA YANGA 0 NA GEMU LINAENDELEA KWA SPIDI YA AJABU KABISA.HIVYO TUENDELEE KUFUATILIA TOKA HAPA TAIFA.
Saturday, October 31, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment