HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 31, 2009

Hivi Nimesoma Vibaya Au Inakuwaje??

wadau hivi hapo barazani panasomekaje??maana yawezekana mimi ndio nimeshindwa kusoma vyema.

3 comments:

  1. sio kosa lake yeye labda kafikiria kufanya Biashara HAPA sehemu ya Mbele ya maneno. wangeandika Marufuku Kufanya Biashara Sehemu hii Yote.

    ReplyDelete
  2. Hata SERIKALI INASEMA NI MARUFUKU KU EPA LAKINI WATUMISHI BADO WANA EPA

    ReplyDelete
  3. Huu ni uthibitisho mwingine kuwa KUSOMA SI KUELEWA.
    Blessings

    ReplyDelete

Post Bottom Ad