vijana wa Msimbazi (Simba Sport's Club) leo wameibuka kidedea baada ya kuwachabanga watani wazao wa jadi Yanga kwa bao 1-0 katika mpambano uliomalizika dakika chache zilizopita katika uwanja wa taifa,jijini Dar.bao hilo pekee lililofungwa na mnamo dakika ya 26 na mshambuliaji Mussa Hassan Mgosi,ndio lililoifanya timu ya Yanga kutoka katika uwanja huo wa taifa ikiwa vichwa chini.kiukweli mpira ulikuwa mzuri na wakushambuliana kwa pande zote mbili.
ebwanae matokeo ya primier week hii hakuna mbona unatupa ya bongo peke yake ama uingereza mpira haukuchezwa*?
ReplyDelete