Meneja Uhusiano wa kampuni ya bia ya serengeti Bi Teddy Mapunda akimkabidhi mk uu wa wilaya ya Tanga mjini mh Ibrahim Msengi vyandarua pamoja na mashuka.kwa ajili ya wodi ya wazazi ya hospitali ya taifa ya Bombo
Baadhi ya wawakilishi wa kinywaji cha Serengeti wakiwa na Meneja uhusiano wao Bi Teddy Mapunda wakitandika kitanda kwa shuka zao mpya walizozileta mapema leo asubuhi,huku mkuu wa wilaya wa Tanga vijijini akilifuatilia kwa umakin mkubwa

"Na hiki ndiyo chandarua safi kabisa na kina ngao kwa ajili ya kujilinda na ugonjwa wa malalia "kama aonekanavyo mkuu wa wilaya akizungumza hivyo pichani
No comments:
Post a Comment