HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 26, 2009

Mahanjumati Mgahawa

Mzee wa mtaa kwa mtaa hapo ni sehemu maarufu kwa mbuzi choma au nyama ya mbuzi ya bei rahisi kabisa. Hapo ni maeneo ya Kongwa, njia ya kuelekea Mji Mkuu Dodoma, nilikuwa vacation fupi weekend hii nikaona si vibaya nikiwwaletea yaliyojiri pande hizo.

Mdau wa Mtaa Kwa Mtaa.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad