
Hii ni mandhari nzuri ya Jiji la Dar es Salaam, katika maeneo ya Posta Mpya karibu kabisa na Kituo cha Mafuta cha GAPCO barabara ya Azikiwe. Maji haya yanatiririka katika eneo hilo kwa zaidi ya mwezi sasa bila ya wahusika kuchukua hatua.picha na
Father Kidevu Blog
kamwonyeshe Mzengo Pinda
ReplyDeleteHaina haja ya kumuonyesha na wakatioanapita hapo japo wiki mala moja au wale wengine si maofisi yao yanaelekea uko
ReplyDeleteDah Bongo dalisalama hiyo
ReplyDelete