HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 6, 2009

Posta Mpya Hapa Jamani!!

Hii ni mandhari nzuri ya Jiji la Dar es Salaam, katika maeneo ya Posta Mpya karibu kabisa na Kituo cha Mafuta cha GAPCO barabara ya Azikiwe. Maji haya yanatiririka katika eneo hilo kwa zaidi ya mwezi sasa bila ya wahusika kuchukua hatua.picha na Father Kidevu Blog

3 comments:

  1. Haina haja ya kumuonyesha na wakatioanapita hapo japo wiki mala moja au wale wengine si maofisi yao yanaelekea uko

    ReplyDelete

Post Bottom Ad